๐Ÿ—ฃ๏ธ Msaidizi wa biashara yako, kila siku

Ifahamu Biashara Yako, Ongeza Faida Mfukoni Mwako.

Rekodi mauzo, stoo na matumizi - mfumo unakuambia nini cha kufanya leo ili kuongeza faida.

Biashara Sauti
๐Ÿ  Dashibodi
๐Ÿ›’ Mauzo
๐Ÿ“ฆ Bidhaa
๐Ÿ“Š Ripoti
Habari Neema ๐Ÿ‘‹
B Sauti ya Biashara
๐Ÿ“ข Kreti za Azam Cola zimeisha haraka wiki hii. Nunua kreti 5 zaidi kabla ya Ijumaa.
Mauzo
0
Faida
0
M-Pesa
0
๐Ÿ›’ Mauzo
Sukari 1kg3,200
Mafuta 1L6,500
Sabuni1,800
Kikapu0
SAUTI YA BIASHARA

Mfumo Unaozungumza Nawe

Inasoma mauzo, stoo, matumizi na madeni yako, kisha inakuambia nini cha kufanya leo.

  • ๐Ÿ“ฆBidhaa zinazoisha haraka - ununue ngapi, kabla ya siku gani.
  • โšกGharama zinazopanda, kama umeme au nauli.
  • ๐ŸงพWateja wanaodaiwa muda mrefu - nani wa kumpigia leo.
B
Sauti ya Biashara
Msaada wa leo kwa biashara yako
๐Ÿ“ข
Habari! Wiki hii kreti za Azam Cola zimeisha haraka kuliko kawaida. Nunua kreti 5 zaidi kabla ya Ijumaa ili usipoteze wateja mwisho wa wiki.
๐Ÿงพ
Mama Asha anadaiwa 45,000 TZS tangu siku 12 zilizopita. Mpigie simu leo - deni likizidi mwezi huwa gumu kulipwa.
๐Ÿ“ˆ
Hongera! Mauzo ya wiki hii yamepanda kwa 18%. Kesho ni Jumamosi, siku yako bora - hakikisha sukari na mafuta vimejaa.

Unachopata

๐Ÿ’ฐ

Mifuko ya Pesa

Cash, M-Pesa, benki au Mkopo - jua kila shilingi iliingia wapi.

๐Ÿ“ฆ

Stoo Inayojisasisha

Stoo inapungua yenyewe kila mauzo, na unajua kinachokaribia kuisha.

๐Ÿค

Madeni (Mkopo)

Fuatilia nani anadaiwa, kiasi gani na tangu lini - hata akilipa kidogo kidogo.

๐Ÿ’ธ

Matumizi kwa Aina

Umeme, nauli, kodi, mishahara - ona pesa inaenda wapi kila mwezi.

๐Ÿ“ฒ

Ripoti kwa WhatsApp

Muhtasari wa mauzo na matumizi moja kwa moja WhatsApp yako, kila siku au wiki.

๐Ÿ‘ฅ

Wafanyakazi na PIN

Kila mfanyakazi ana PIN yake; wanauza, lakini faida na ripoti zinabaki kwako.

Jinsi Inavyofanya Kazi

01

Jiandikishe

Chini ya dakika 2.

02

Tunawasiliana Kupitia WhatsApp

Tunakutumia bei na maelezo.

03

Lipia na Uwezeshwe

Akaunti yako inawashwa haraka.

04

Weka PIN Yako, Anza

Weka PIN yako na uanze kuuza.

Uko Tayari? Andikisha Biashara Yako.

Chini ya dakika 2. Tutawasiliana nawe kwa WhatsApp.

Tafadhali weka jina la biashara yako.
Tafadhali weka jina lako kamili.
Tafadhali weka namba sahihi ya WhatsApp.
Tafadhali weka mahali biashara yako ilipo.
๐Ÿ“ถ

Online

Fikia biashara yako popote.

๐Ÿ 

Offline

Inafanya kazi dukani bila mtandao.

Tafadhali chagua Mtandaoni (Online) au Ndani ya Duka (Offline).