Rekodi mauzo, stoo na matumizi - mfumo unakuambia nini cha kufanya leo ili kuongeza faida.
Inasoma mauzo, stoo, matumizi na madeni yako, kisha inakuambia nini cha kufanya leo.
Cash, M-Pesa, benki au Mkopo - jua kila shilingi iliingia wapi.
Stoo inapungua yenyewe kila mauzo, na unajua kinachokaribia kuisha.
Fuatilia nani anadaiwa, kiasi gani na tangu lini - hata akilipa kidogo kidogo.
Umeme, nauli, kodi, mishahara - ona pesa inaenda wapi kila mwezi.
Muhtasari wa mauzo na matumizi moja kwa moja WhatsApp yako, kila siku au wiki.
Kila mfanyakazi ana PIN yake; wanauza, lakini faida na ripoti zinabaki kwako.
Chini ya dakika 2.
Tunakutumia bei na maelezo.
Akaunti yako inawashwa haraka.
Weka PIN yako na uanze kuuza.
Chini ya dakika 2. Tutawasiliana nawe kwa WhatsApp.